iqna

IQNA

tauhidi katika qurani tukufu
Tauhidi Katika Qur'ani Tukufu /2
TEHRAN (IQNA) – Kwa mujibu wa Qur’ani Tukufu, ukweli wa matendo ya mwanadamu utadhihirika Siku ya Kiyama na kila mtu atalipwa au kuadhibiwa kwa matendo yake wenyewe.
Habari ID: 3476100    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/16

Tauhidi katika Qur'ani Tukufu/1
TEHRAN (IQNA) – Suala la mwanzo na mwisho wa dunia ni miongoni mwa maswali muhimu yaliyo mbele ya wanadamu na namna wanavyoyajibu huwa na athari kubwa katika maisha na hatima ya watu binafsi.
Habari ID: 3476055    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/08